Mosquito es net
Hizi ni net za hema zina zipu zina fit kitanda cha 5,6. Na hata chini zinasimama vizuri kwa wale wanao penda kulala chini.
Zinapatikana kwa rangi blue, pinki,papo& pink.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!