Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
12. Nov, 23:30
Utambulisho wa Tangazo: 1529539
TSh 1,000,000

2019 Mashine za kusaga nafaka n.k

Kinondoni, Mabibo Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Mwaka
2019
Kampuni
Mashine za kusaga nafaka n.k
Current location
Ipo Tanzania
Import duty paid
Hapana
Maelezo

Tunatengeneza mashine mbalimbali kutokana na hitaji la mteja kwa mahitaji ya mashine tafadhali wasiliana nasi au fika Mabibo Mwisho ulizia workshop ya Tutu au piga simu namba

 1. Vinu vya mashine ya kusaga na kukoboa
  • List item Namba 50=1,000,000/=
   Namba 75=1,500,000/=
   Namba 100=2,000,000/=
 1. Mashine ya kusaga viungo mbalimbali

 2. Mashine ya kuchanganya chakula cha mifugo(kuku n.k) kuanzia nusu tani mpaka tani 10.

 3. Mashine ya kutengeneza Pellets (chakula cha samaki)

 4. Mashine ya kusaga karanga (Peanut Butter)

 5. Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti, ufuta

 6. Mashine ya kupukuchua mahindi, maharage, ufuta n.k

  1. Mashine ya kusaga mawe (crusher mashine)
 7. Mashine ya kumenya viazi na kukata viazi vya chips, clips na slices

 8. Mashine za kuvyatulia matofali pamoja na mixer za kutumia umeme kuanzia tofali moja mpaka tatu.

 9. Mashine ya kulina Asali

 10. Mashine ya kuokea mikate

 11. Mashine ya kukanda unga wa ngano na kutengeneza chapati

 12. Mashine ya kufua umeme wa kuendeshea mashine/kiwanda

 13. Tunatengeneza mashine ya aina yoyote, wewe njoo na hitaji(idea/wazo) la mashine uhitakayo nasi tutakupatia .

mhehgm@gmail.com
Mwanachama tangu 16. Dis '14 3 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!