Nyumba zipo 4 kwenye fensi moja zinauzwa na kila nyumba inavyumba vi3 na vyote self container na seeting room dinning room kitchen store public toilet, njoo ukague tufanye biashara nyumba zipo kibaha pwani kwa matiasi karibu na chuo cha sadeki
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!