NYUMBA ZINAPANGISHWA (TWO IN ONE)
MAHALI- #Ilazo
SIFA ZA NYUMBA(KILA MOJA)
vyumba 2 vya kulala,kimojawapo ni master
#sebule
#Jiko(Litawekwa makabati)
#public toilet
#Kila moja inajitegemea geti lake(zimetenganishwa na ukuta)
HUDUMA
#maji 24/7 yako
#umeme 24/7 wako
#parking space ipo kubwa
#ziko ndani ya fensi
#ziko appartments 2 kwenye compound na kila moja inajitegemea maji+umeme na geti lake
#ZITAWEKWA PAVING BLOCKS
BEI-400,000/= #mwezi
MUDA WA MALIPO-Miezi 6+kodi ya mwezi mmoja ya dalali
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!