1. Jul, 23:29
Utambulisho wa Tangazo 3027177
TSh 120,000

Yunhzi na famicare

Mbeya Mjini Mbeya
Seller offers delivery

Popote tunakufikia kwa garama nafuu

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

NI VIPIMO GANI MWANAMKE HUFANYIWA HOSPITALINI ILI KUJUA KAMA DALILI TAJWA HAPO JUU ZINATHIBITISHA YEYE KUWA NA MAAMBUKIZI YA PID?

?Daktar atakuandikia vipimo kati ya hivi vifuatavyo ili kujiridhisha kama kweli upo na MAAMBUKIZI ya PID kutokana na vile yeye ataona inamfaa na hasahasa ni kutokana na historia yako uliyompatia wakati unajieleza kwake( Patient history)

1.Ultrasound ya tumbo

2.Endometrial biopsy

3.Laparascopy

MADHARA YAPI MWANAMKE HUYAPATA ANAPOPATA MAAMBUKIZI YA PID ?

?Mwanamke kupata maambukizi ya PID na asiyatibu kwa haraka hupelekea madhara yafuatayo:

1.Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi(Ectopic pregnancy)

2.Ugumba(infertility)

3.Maumivu sugu ya nyonga na kiuno

4.Kupata kansa ya shingo ya kizazi

5.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija ya uzazi ambayo hupelekea mirija kuziba

MAMBO YAPI MWANAMKE ANATAKIWA KUJIEPUSHA NAYO ILI ASIPATE MAAMBUKIZI YA PID?

1..Epuka kuwa na wenza zaidi ya mmoja na epuka pia ngono zembe( kufanya mapenzi bila kujikinga)

2.Epuka kutumia njia za na dawa za uzazi wa mpango kiholela( kitanzi n.k)

3.Epuka kuharibu au kutoa mimba makusudi

4.Epuka kupuzia dalili zozote kati ya zilizotajwa hapo juu bila kuchukulia maamuzi ya kupima hospitalini na kutafuta tiba mapema haraka iwezekanavyo.

JE NI KWANINI BAADHI YA WANAWAKE HUPATA MAAMBUKIZI YA PID YASIYO ISHA?

?Baadhi ya WANAWAKE hupata maambukizi ya PID na kupewa dawa huko hospitalini na hupona ila baada ya muda hurudiwa tena na maambukizi hayo ya PID.

?Hii ni kutokana na sababu zifuatazo

  1. SABABU ya kwanza ni kuendelea kufanya vitu ambavyo akifanya hupelekea yeye kuwa na maambukizi hayo ya PID( nimeyaeleza vizuri hayo hapo juu)

  2. Staili yake ya maisha na usafi BINAFSI hasa wakati akiendelea na dozi ya PID.

?Yaani kuhusu matumizi ya nguo za ndani(tight, chupi n.k), kanga , taulo, leso n.k

?Unakuta mwanamke anaumwa PID then anatokwa na uchafu ukeni unaosababiswa na PID, wakati huo amemevaa labda chupi na tight kisha anaenda pengine kuoga na kujifuta na kanga au taulo au leso ule uchafu na baada ya kuoga anavaa nguo hizo hizo.

?Hali hiyo hupelekea kuendelea kujisambazia MWENYEWE vile vimelea vinavyosababisha PID hivyo kupelekea yeye kuwa na PID isiyoisha( Yaani ni anajitibia huku anaendelea kujiambukiza mwenyewe)

3.Vimilea vinavyosababisha PID kuzoea dawa hivyo dawa kushindwa kuviua vimelea hivyo (drug resistance)( antibiotics)

JE PID INATIBIKA MOJA KWA MOJA NA MTU KUPONA KABISA?

?NDIO, YAPO MATIBABU NA SULUHISHO LA MOJA KWA MOJA YA KULIMALIZA TATIZO LA PID

?Asanteni sana kwa kunifuatilia , nimemaliza somo langu la siku ya leo?

?NI MUDA SASA WA MIMI KUANZA KUJIBU MASWALI..

?KARIBU UULIZE SWALI LAKO LOLOTE KWA UHURU KABISA NAMI NITAKUJIBU

Gift joseph
Mwanachama tangu 5. Feb
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!