23. Feb, 13:37
Utambulisho wa Tangazo: 2540539
TSh 120,000

Yuhnzi

Mbeya Mjini Mbeya
Seller offers delivery

Popote tunakufikia kwagarama nafuu

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS).”

Je, fibroids inaweza kusababisha kuvuja damu Kwa Kinamama , Maumivu ya mgongo na Dalili zingine mbaya?

Inawezekana kabisa lakini siyo kila mwanamke mwenye fibroids hupata dalili hizi, lakini pia uwepo wa dalili hizi siyo lazima kwamba Una fibroids , Unaweza kuwa na tatizo lingine la Kiafya , Ushauri Mzuri ni Kuonana na daktari haraka ili kupata vipimo.

“Zifuatazo ni Dalili Zinazojitokeza kwa Wanawake Wengi Zaidi Wenye Uvimbe Kwenye Kizazi :

•Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi.
•Hedhi nzito.
•Kujisikia umeshiba mda mwingi
•Maumivu ya nyonga.
•Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kutoa mkojo wote kwenye kibofu.
•Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu.
•Kupata maumivu wakati watendo la ndoa.
•Maumivu chini ya mgongo na kwenye miguu.
•Madhara mablimbali ya uzazi kama ugumba na mimba Kuharibika .

Tafiti zinaonesha kuwa zaidi ya 60% ya wanawake wanavimbe kwenye vizazi vyao, japo wengi wao hawajijui kwani zaweza kuwa ndogo ndogo zisizoonesha dalili zozote, hivyo ni vyema kujiwekea utaratibu Wa kuchunguza afya zetu Mara kwa Mara.

Kwa tiba na ushauri juu ya matatizo mbalimbali ya kiafya tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa kutupigia namba

Gift joseph
Mwanachama tangu 5. Feb
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!