2. Mac, 23:18
Utambulisho wa Tangazo 2559021
TSh 55,000

X16 smartwatch series 6

Ilala, Kimanga Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Tsh 5000 dsm
Tsh 10,000 mikoani

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

Functions.
⌚️Inakuba simu zote Android & (ios) yani iPhone
⌚️Unaweza kupiga na kupokea simu baada ya kuunganisha na simu yako
⌚️Inasupport notification zote za simu kama Whatsapp,Facebook,instagram& Sms
⌚️Ina pima Heart Rate,bloodpressure, Calories,blood oyxgen
⌚️Unaweza kubadilisha mikanda
⌚️Unaweza kuweka picha yako kwenye saa
⌚️Ni saa boraa kwa mazoezi (Physical activities)
⌚️unaweza kuweka password
⌚️ina games
⌚️ni fullscreen
⌚️Ina unganishwa kwa bluetooth na app yake
⌚️Ina hesabu masaa ulio lala
⌚️Ina hesabu hatua ulizotembea au kukimbia wakati wa mazoezi
⌚️Unaweza kuplay music ulio kwenye simu kwa kutumia saa yako
⌚️Inakaa na chaji siku nzima au zaid kulingana na matumizi yako.

ochusmartwatch
ochusmartwatch
Mwanachama tangu 10. Ago '16
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!