Dar es salaam nasambaza bure nafika ulipo Mikoan natuma pia ila usafirishaji utalipia mteja karibuni nikuhudumie
Welcome for 3D Wallpaper
Urefu mita 10 upana nusu mita Wallpaper 25000 rola moja gundi 10000 ina bandika rola 3/4 ufundi 15000 kwa rola moja
Wallpaper bila ufundi 30000 gundi 10000
Karibu sana boss
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!