15. Sep '20, 16:14
Utambulisho wa Tangazo: 2125914
TSh 7,000,000

#VIWANJA VYA MAKAZI VINAUZWA MBUTU KIGAMBONI - DAR

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam Mbutu Kichangani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
507.0 m²
Maelezo

SWAHILI
#VIWANJA VYA MAKAZI VINAUZWA MBUTU KIGAMBONI - DAR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
MAHALI: MBUTU KICHANGANI - KIGAMBONI, DAR ES SALAAM.
MAELEZO: VIWANJA VIMEPIMWA TAYARI, NI VIWANJA NO.
35,38 & 40, CHEKI RAMANI HAPO CHINI.
KIWANJA NO. 35 KINA HATI MILIKI TAYARI.
UMEME, MAJI YAPO ENEO LA VIWANJA.
ENEO LIMECHANGAMKA SANA NA HUDUMA ZOTE
ZA KIJAMII ZIPO.
LINAFAA: ENEO LINAFAA KWA MAKAZI NA BIASHARA.
UKUBWA: VIKO KATIKA UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI.
ZAIDI: HATI UNASHUGHULIKIWA UKIMALIZA MALIPO.
BEI: TSH. 7,000,000/= KWA KILA KIMOJA
(MAONGEZI YAPO)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
ENGLISH
#RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE AT MBUTU KIGAMBONI - DSM.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
LOCATION: THE PLOTS ARE LOCATED AT MBUTU
KICHANGANI, KIGAMBONI - DAR ES SALAAM.
DESCRIPTION: THE PLOTS ARE SURVEYED, PLOT NO.
35,38 & 40, CHECK THE MAP ON PHOTOS.
THE PLOT NO. 35 GOT THE TITLE DEED.
ELECTRICITY AND WATER SUPPLY AVAILABLE.
THE AREA AROUND HAVE DEVELOPED INDEED
SUITABLE FOR: THE PLOT IS SUITABLE FOR COMMERCIAL AND
RESIDENTS.
AREA: PLOTS ARE IN DIFFERENT AREAS.
MORE: TITLE DEED PROCESSED UPON FINISHING THE
PAYMENTS.
PRICE: TSH. 7,000,000/= EACH PLOT (NEGOTIABLE)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Mwanachama tangu 30. Jul '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!