SWAHILI
#VIWANJA VYA MAKAZI VINAUZWA MBUTU-KIGAMBONI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: MBUTU KICHANGANI, KIGAMBONI, DSM.
— Viwanja ni namba 35, 38 na 40. Viwanja vimepimwa na kiwanja no. 35 kina hati miliki (tazama ramani kwenye picha).
— Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi na Biashara, Nyumba za kupanga/kuuza
— Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
— Eneo lililozunguka kiwanja tayari limeendelezwa.
— Kiwanja kiko tambalale, hakuna milima wala mabonde.
— Bei: ni Tsh. 7,000,000 kwa kila kimoja (maongezi yapo)
— Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
ENGLISH
RESIDENTIAL PLOT FOR SALE AT MBUTU - KIGAMBONI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Plots are located at MBUTU, KIGAMBONI, DSM.
— Plots are surveyed No. 36, 38 and 40. Plot no. 35 has got Title deed. (check the survey plan on pictures) — The plot is suitable for construction habitats and Business
— Social services are found around the plot
— The areas around the plot are already developed
— Plots are plain, no hills.
— Price: Tsh. 7,000,000/- per each plot.
— Title deed found after finishing the total payment
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!