JAMBOLAND REALTY tunatoa mkopo wa viwanja na mashamba bila riba wala dhamana;
MRADI MPYA!!!
RASI BAMBA BEACH PLOT II.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia.
-Umbali ni 1.9km toka barabara kuu(Mji Mwema road).
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Ni mita 200 toka beach.
-Bei ya square meter moja ni 35000.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unatoa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ukiigawanya kwa kila mwezi.
Ofisi zetu zipo Mikocheni A karibu na Hospitali ya Kairuki.
KARIBUNI SANA?
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!