MRADI MPYA!!
MADALE KWA MZUNGU.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1km toka barabara kuu(Wazo road).
-Viwanja vimepimwa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 30,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Ubungo Mawasiliano Mkabala na Stendi ya Daladala.
KARIBUNI SANA ?
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!