MRADI MPYA!!
GOBA KULANGWA.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1km kutoka barabara ya lami.
-Viwanja vimepimwa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 35,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3 ama 6 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
KARIBUNI SANA ?
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!