#PLOT KALI SANA ZINAUZWA PUGU KAJIUNGENI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
--- Viwanja viko: PUGU KAJIUNGENI, NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI PUGU.
--- Viwanja viko PUGU SHULE, MITA 800 toka PUGU ROAD.
--- Viwanja viko VIWILI, 526 SQM NA 309SQM
--- Viwanja vimepimwa tayari.
--- Kiwanja cha sqm 526 kina pagale la nyumba ya vyumba 3.
--- Huduma za kijamii zinapatikana, umeme, maji, hospitali, shule vyote vipo.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa sana sana.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 15,000,000 kwa sqm 309 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 526 (chenye pagale).
--- Maongezi yapo kidogo sana.
--- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!