▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: BLOCK J, BUNJU A, DSM
— Viwanja viko sehemu nzuri sana kwa makazi. Huduma zote za kijamii zipo.
— Viwanja vimepimwa na vina hati miliki.
-- Viwanja vina mita za mraba 2,294 na 1,368
— Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, n.k
— Viwanja viko km 2 toka barabara kuu ya bagamoyo.
— Bei: Tsh. 85,000,000/- na Tsh. 50,000,000/- mazungumzo yapo.
— Viwanja vimezungukwa na Eneo ambalo limeendelezwa sana.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!