Tunauza viwanja vipo Dege karibu na ma Ghorafa ya NSSF viwanja hivi vya Dege tuna uza kwa kila Sqm 1 ni eluf 12,000/= na viwanja tayari vimeshapimwa na kurasimishwa kwahiyo ukinunua unapata na Hati miliki kwa jina lako kabsa. Umbali kutoka barabara kubwa ni Kilometer 1. Pia tunavyo viwanja vingine vipo cheka huko huko kigamboni hivi pia tunauza kwa square meter 1 kwa elfu 10,000/= pia tayaari vimeshapimwa na kurasimishwa, mteja karibu sana garama za kupelekwa site kuona ni za mteja mwenyewe
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!