eneo lina ukubwa wa sqm 1380
umbali toka barabarani ni 2.5km
eneo liko tambarare nzuri kabisa
hUduma zote zipo
bei kwa sqm1 ni 35,000 cash na 40,000 installments
unaweza lipa cash au installments ndani ya miezi mitatu
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!