COLDWELL PROPERTY LIMITED ni wauzaji na wakopeshaji wa viwanja na mashamba bila riba wala dhamana.
MRADI MPYA!! KIGAMBONI KISARAWE II - KIGOGO
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 18km toka Kigamboni Ferry na 200m toka main road(Mwasonga road)
-Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei ni Tshs 15,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa ndani ya mwezi mmoja baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Mabibo Mwisho jirani na Stendi ya Daladala.
KARIBUNI SANA ?
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!