7. Mei, 09:50
Utambulisho wa Tangazo 2843649
TSh 8,000,000 / m²

Viwanja Vinauzwa Kigamboni kisarawe 2

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Kigamboni maweni
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
400.0 m²
Maelezo

MRADI MPYA!! KIGAMBONI KISARAWE II - KIGOGO
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 12km toka Kigamboni Ferry na 1km kutoka barabara ya lami.
-Vipo karibu na Uwanja wa YANGA.
-Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa kuanza sqm 400
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 20,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU

KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Granite property limited
Mwanachama tangu 13. Feb
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!