Saturday, 22:06
Utambulisho wa Tangazo: 2414666
TSh 7,500 / m²

VIWANJA VINAUZWA KIBAHA KWA MATHIAC

Kibaha Mjini Pwani SWAHILI #PLOT #ZINAUZWA #KIBAHA KWA MATHIAC ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Viwanja viko: KIBAHA KWA MATHIAC --- Viwanja viko km 3 toka Morogoro road na ni karibu na barabara ya chuo kikuu uria. --- Viwanja viko katoka ukubwa tofauti tofauti kuanzia mita za mraba 823 - 2,055. --- Viwanja vimepimwa tayari. --- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k. --- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na vieanja. --- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa. --- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 7,500 kwa mita moja ya mraba --- Utatanguliza 50% ya ya bei ya kiwanja, inayobaki utalipa taratibu kwa miezi sita. --- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja. --- Kwenda sity kuona viwanja ni siku yoyote.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
841.0 m²
Maelezo

SWAHILI
#PLOT #ZINAUZWA #KIBAHA KWA MATHIAC
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

Viwanja viko: KIBAHA KWA MATHIAC
--- Viwanja viko km 3 toka Morogoro road na ni karibu na barabara ya chuo kikuu uria.
--- Viwanja viko katoka ukubwa tofauti tofauti kuanzia mita za mraba 823 - 2,055.
--- Viwanja vimepimwa tayari.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na vieanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 7,500 kwa mita moja ya mraba
--- Utatanguliza 50% ya ya bei ya kiwanja, inayobaki utalipa taratibu kwa miezi sita. --- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda sity kuona viwanja ni siku yoyote

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samson Mushi
Samson Mushi
Mwanachama tangu 23. Jul '18
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!