7. Mar, 17:32
Utambulisho wa Tangazo: 2569799
TSh 2,000,000

VIWANJA VILIVYOPIMWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM

Mkuranga Pwani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Price per square unit
Hapana
Square units
2,000.0 ft²
Maelezo

⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬

1️⃣MRADI HUU PUNGUZO NI LAKI TANO! Tsh.500,000/=

■ Viwanja vipo vikindu mjini(mwajasi)

■kutoka barabara ya lami[stendi] hadi viwanjani ni km 2 takriban

■Ukubwa wa viwanja ni ft 40 kwa 50 sawa na ft square 2000 ukizileta kwa vipimo vya mita sawa na mita 13 kwa 16 ambapo ni sqm 208

■Huduma za kijamii muhim zote zipo umeme uko viwanjani, maji yapo viwanjani na huduma zingine zipo karibu.

■Barabara hadi site zinapitika na viwanja vimeangiliwa kwa mitaa hivyo kila kiwanja kinatazama barabara.

?Bei ya viwanja ni Tsh. 2,000,000/= ambapo hii ni ofa! bei ya mwanzo ilikuwa Tsh. 2,500,000/= HIVYO BASI ukija leo basi umeokoa Laki tano.

?Licha ya kuwepo ofa hiyo bali kuna ofa zingine tele kama vile kuvutishiwa bomba la maji bure kwa mwenye kununua viwanja kuanzia vitatu na kuendelea.

?Pia kuletewa tofali 100 bure ukinunua viwanja viwili kwa malipo ya cash. na ofa zingine nyingi.

Wenda ukajiuliza vipi naweza kulipa kwa awam? jibu ndiyo inawezekana tena kwa mshiriki wa group hili atapewa bonus ya kuongezewa muda wa malipo.

○●○?Nyaraka za kiserikali zinapatikana ukijumuhisha hati za umiliki na hati za mauziano pia. ila kwa sasa utapewa hati original ya mauziano na mradi ukiisha basi hati miliki zitatolewa.

TAMBUA: kuja kuona site ni bure hakuna malipo tena hata nauli unaweza kupewa pia! kwa aliye serious.

?Tupo site siku zote za wiki ila siku za weekend ni siku ya kupokea wageni hivyo tunakuwepo site kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi jioni.

KUMBUKA...! HABARI NJEMA HUU NI MSIMU WA OFA ZETU HIVYO NJOO UJIONEE VIWANJA MAPEMA.

????????????

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
SuperLand Tanzania
SuperLand Tanzania
Mwanachama tangu 24. Jul '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!