Nauza viwanja moshi, 16 kwa 50 milioni 7 kipo pumuani kama unaenda Kawawa pembeni ya lami, 20 kwa 30 pumuani kilometa moja na nusu juu milioni 3 na nusu, kiboriloni dakika 10 kwa mguu kutoka soko la kiboriloni 15 kwa 25 milioni 7.
Mjohoroni mita mia 3 toka standi 40 kwa 40 pana Nyumba ya room 1 self na fensi milioni 35
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!