24. Jun, 20:37
Utambulisho wa Tangazo 3001757
TSh 45,000

viwanja madale kisauke

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam mdale kisauke
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
8,000.0
Maelezo

MRADI MPYA!!
MADALE KISAUKE.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo karibu na WHY NOT INN.
-Umbali ni mita 100 kutoka barabara ya lami.
-Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana.
-Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.
-Bei ni 45,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
NJIA ZA MALIPO.
Mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 4 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Mabibo mkabala na Chuo cha Usafirishaji (N.I.T)

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Davis
Davis
Mwanachama tangu 11. Feb
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!