9. Feb, 10:57
Utambulisho wa Tangazo: 2484588
TSh 5,500,000 / m²

Viwanja dodoma mjini

Dodoma Mjini Dodoma Dodoma Tanzania
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Dodoma
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
450.0 m²
Maelezo

Viwanja VIWILI viko Sokoni.
Mahali miganga
Miganga iko umbali wa kilomita 5 mpk mjini katikati,
Miganga inapakana na chidachi, michese, na mkonze yani miganga iko katikati ya hizo sehem
Hivi viwanja viko karibu na mradi mkubwa wa SGR,
Pia huduma kama maji na umeme upo
Barabara zipo vzuri na zimenyooka mpk site
Viwanja vina documents halali za jiji la dodoma

Cha sqm 590 bei milioni 6 na nusu

Cha sqm 450 bei milioni 5 na nusu

Piga simu muda wowote upelekwe site kupaona.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lacar
Mwanachama tangu 14. Jan
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!