#PLOT ZINAUZWA KIBAMBA HOSPITAL
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: KIBAMBA HOSPITAL.
--- Viwanja viko KIBAMBA km 2.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo.
--- Viwanja viko sita kuanzia, sqm 1,300 na sqm 1,650.
--- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 17,000 kwa sqm 1
--- Hati miliki itaandaliwa kwa jina la mteja baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!