19. Jun '20, 08:44
Utambulisho wa Tangazo 1905591
TSh 550,000

VIDEO DOOR PHONE

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery in Dar es salaam

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

VIDEO DOOR PHONE .

.

Hii ni security system inayokuwa installed kwenye eneo la mlango au geti lako

.

System hii ina camera hivyo utaweza kumuona mgeni wako aliyopo mlangoni/getini kwako, pia ina speaker hivyo utaweza kuongea nae ukiwa ndani kwako bila kwenda kufungua mlango/geti

Ikiwa haupo nyumbani, system hii inauwezo wa kurecord mtu aliyefika mlangoni/getini kwako hivyo ukirudi utaweza kuona kupitia system hii

System hii ina night vision, hivyo utaweza kumuona mgeni wako hata kama ikiwa ni usiku.

BEI:550,000/= ..

Karibuni @skmquality @skmquality_ ili muweze kujipatia Video Door Phone pamoja na devices nyingine kwa bei nafuu sana.

Tuna mafundi wa uhakika hivyo watakuhudumia kwa ufanisi mkubwa sana.

fFree Installation

@skmquality @skmquality_

SimonKaboja
Mwanachama tangu 18. Mei '17
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!