Kwa wateja wa dar es salaam na maeneo jirani ya mji wataletewa Hadi walipo kwa kuchangia nauli,mikoani na nnje ya nnchi tutakutumia mzigo wako kwa basi kwa uaminifu mkubwa.
Karibuni?
Karibuni sandles za kijanja jumla 6,5,00 pic 24 na reja 7,500 size 37-41 rangi tofauti2?? tupo mbezi ya goba kituo johnbulla!
Tuna aina mbalimbali za viatu kwa Bei poa saana njoo watsap kwa picha zaidi????
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!