ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi-1.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.
Chumba kimoja ni masta,jiko na store vipo
.
Tiles,Gypsum na Dirisha za Vioo.
Nyumba ina air condition na parking ipo.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!