KIWANJA KINAUZWA MBEZI BEACH DAR ES SALAAM
Kipo Mbezi beach (juu) Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam, 1km kutoka Bagamoyo Road,upande wa Kushoto ukitokea Mwenge.
Kina ukubwa wa SQM-2049. Kimepimwa na kupatiwa Hati kamili ya wizara (Title Deed).
Ndani ya kiwanja Kuna Jengo kubwa lisiloisha (Pagale).
Kiwanja kinauzwa kwa Tsh mil 230 tu na Mazungumzo yanakaribishwa kwa mteja atakayeonyesha nia ya kununua.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia;
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!