Dell Ultra-Book iko poa haina tatizo lolote na ni slim-portable. Inakaa na chaji vizuri.
-> Intel Core i5 4th Generation(Max 3.0Ghz)
-> 4gb RAM(unaweza ongezewa iwe 8gb)
-> 128gb SSD(Iko speed and fast)
-> Fingerprint(Ku sign in badala ya passwords)
Kwa walio serious tu nicheki. inakaa nachaji vizuri.
Ni contact: 628308050
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!