9. Sep '21, 15:53
Utambulisho wa Tangazo 3347744
TSh 12

UGONJWA WA KISUKARI, SABABU,  DALILI, MADHARA NA TIBA YAKE/DAWA YA ASILI YA KISUKARI

Morogoro Mjini Morogoro
Seller offers delivery

Kwa walio morogoro mjini, utaletewa hadi nyumbani.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

UGONJWA WA KISUKARI, CHANZO,  DALILI, MADHARA NA TIBA YAKE.

Kisukari ni nini, nini maana ya kisukari???dawa ya kisukari,dalili za ugonjwa wa kisukari.

KISUKARI (diabetes mellitus ) ni ugonjwa wa uwepo wa kiasi kingi cha sukari katika damu. Sababu yake kubwa ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili kuzalisha insulini ambayo husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Kipi kinatokea mpaka mtu kupata ugonjwa wa sukari au kuongezeka kwa kiwango cha sukari mwilini???

Ugonjwa wa sukari hutokea baada ya ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari (wanga), hasaa zaidi vyenye sukari rahisi.

    Mfano wa vyakula vitoavyo sukari mwilini ni kama:- Ugali, wali, viazi, ndizi, mkate, chapati n.k

Ulaji wa wingi wa vyakula vyenye sukari au vitoavyo sukati kwa wingi, kwa kutofuata taratibu za kitabibu kama kula kiasi kingi cha chakula baada ya saa kumi na moja jioni, ulaji wa chakula kingi katika mlo mmoja na utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi hupelekea mtu kupata tatizo hili(Type 2 diabetes).

Wakati mwingine tunaweza kupata tatizo la sukari kutokana na kurithi, historia ya sukari kwenye familia au kuzaliwa na upungufu wa uzalishaji wa kiwango cha insulini mwilini (Type 1 diabetes).

Sababu zingine zinazopelekea kupata tatizo hili ni Umri mkubwa, kuwa na uzito mkubwa, presha ya kupanda,historia ya sukari wakati wa ujauzito na magonjwa yanayoweza kupelekea kuharibika kwa ufanisi kazi wa insulini mwilini kiasi cha kushindwa kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Sababu zote kwa pamoja hupelekea watu kupata kisukari, mgonjwa wako anapopata tatizo hili hakikisha unachukua hatua za haraka kukabiliana na changamoto hii.

Ugonjwa huu unakadiriwa kuua karibu watu million 1.5 kila mwaka duniani kote (WHO, 2019).

⏹️DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.

?Kushikwa na kiu cha mara kwa mara/kupatwa na kiu kikali.

 

?  Kukojoa mara kwa mara.

 

?   Kutokwa jasho jingi bila hata kufanya shughuli yeyote.

 

?  Uchovu usiokwisha pamoja na kupungua uzito licha ya kula vizuri.

  

? Kupatwa na njaa ya mara kwa mara/njaa kali.

 

?   Mkojo kuwa na ladha ya sukari.

  

?Kizunguzungu.

 

?   Macho kupunguza uwezo wa kuona.

  

?  Kuwa na kidonda kisichopona haraka.

 

?   Upungufu wa nguvu za kiume (mwanaume).

Tuelewe vipimo vya sukari.

Ikiwa vipimo vyako vya sukari vinaonyesha una sukari ina range kutoka 4-5.4mmol/L(72-99mg/dl) tafsiri yake hauna ugonjwa wa kisukari(Normal blood sugar) ikiwa umepima masaa 12 kabla ya kula.

Masaa mawili baada ya kula, tunategemea sukari yako isiwe juu ya 7.8mmol/L(140mg/dl).

Ukiwa na 7.8-11mmol/L, tafsiri yako uko hatarini kupata ugonjwa wa kisukari.

Ukipata zaidi ya 11mmol/L tafsiri yake una kisukari.

⏹ MATHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.

Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili yako madhara mengi yanaweza kujitokeza, moja ya madhara hayo ni pamoja na;

?Magonjwa ya moyo.

?Kiharusi.

? kupungua kwa nguvu za kiume(uume kutokusimama).

? Figo kushindwa kufanya kazi

?Kupata upofu.

Epuka ugonjwa huu kwa  kupunguza unene uliozidi, fuata taratibu za kitabibu katika kula na kunywa, epuka matumizi ya pombe, punguza msongo wa mawazo na uvutaji wa sigara.

Kunywa maji ya kutosha, fanya mazoezi na kula kiasi kingi cha mboga mboga na matunda, utaratibu huu utakusaidia kuimarisha afya yako na kupunguza hatari ya uongezekaji wa kiwango kingi cha sukari mwilini.

⏺️Kumbuka.

Mgonjwa wako anapaswa kupatiwa  matibabu sahihi, huduma nzuri ya kufuatiliwa kimatibabu na elimu sahihi ya matumizi ya chakula kutokana na hali yake.

⏹️MATIBABU SAHIHI.

Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kumtibia mgonjwa wako na akapona kabisa, kumbuka dawa hii ina kanuni mbili ambazo mgonjwa atapaswa kuzifuata (Usinitafute kutaka dawa ukiona kanuni hizi huwezi kuzifuata).

?Unapaswa kutumia maji ya dawa pekee kwa muda wa siku 5 bila kunywa maji ya aina yeyote.

?Dawa hii ina harufu kali, uwe tayari kuitumia kama utaweza.

Dawa hii hutibu tatizo la kisukari kwa haraka sana (Matibabu yanadumu kwa siku 5), dawa si ya kushusha sukari mwilini maana kama ni kushusha sukari ziko approach nyingi tu za kushusha sukari mwilini.

Matibabu haya yanalenga kukutibu na kukuacha huru baada ya matumizi ya dawa.

Muhimu baada ya matumizi ya dawa ni kufanya vipimo tena na kutupatia mrejesho.

Namuomba Allah mtukufu, Mola wa 'Arshi tukufu' akuponyeshe.

Kwa ushauri, maoni na msaada ya kimatibabu gusa contacts.

The cotex medicine

The centre for cure coaching and rehabilitation.

Location: Morogoro mjini.

The Cotex Medicine
The Cotex Medicine
Mwanachama tangu 14. Feb '21
Verified via:
Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!