22. Okt, 14:24
Utambulisho wa Tangazo 3538940
TSh 1

UGONJWA WA BAWASIRI NA ATHARI ZAKE

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free in Dar es salaam

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

BAWASIRI NI NINI?

-Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.?kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.?kupata kinyesi chenye damu
5.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya.

AINA ZA BAWASIRI ⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵

1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵

 1. HATUA YA KWANZA
  Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.

 2. HATUA YA PILI
  Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

 3. HATUA YA TATU
  Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda

 4. HATUA YA NNE
  Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI
1.?Upungufu wa damu mwilini
2.?Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.?kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.?kupungukiwa nguvu za kiume
5.?kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.?Kupata tatizo la kisaikolojia
7.?Kutopata ujauzito
8.? Mimba kuharibika
10.? Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11.? Mwili kudhoofika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

1.?Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
2.?kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
3.?Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
4.?Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
5.? Acha kunywa pombe
6.?Punguza kula nyama nyekundu
7.?Punguza matumizi ya pili pili.
8.?Jitibie vidonda vya tumbo
9.? Jitibie Ngiri
10.? Dhibiti uzito wako
11.? Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

MATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵
Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri:

1.? MATIBABU YA KISASA
-Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo ( minor surgery) kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaj wa tatzo hili tatizo hujirudia kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena.Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili,hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo ( Colorectal Cancer).

2.? MATIBABU KWA NJIA ASILI
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa.Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila kufanya upasuaji na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahid kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri. Zipo dawa asili nyingi na nzur sana katika kutibu Bawasiri, mfano wa dawa hizo ni Bawasiri Fluid na Bawasiri powder,dawa hizi zina ufanisi mkubwa katika kutibu Bawasiri endapo Mgonjwa atazingatia maelekezo.

Dr Liwaya
Dr Liwaya
Mwanachama tangu 1. Sep
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!