15. Feb, 13:27
Utambulisho wa Tangazo: 2510139
TSh 1,300,000

TUNAUZA VIWANJA VYA MAKAZI BORA OBEY NEW VILLAGE

Other District Other Location Kkoo kisemvule Kigamboni kisemvule gali la mwandege Kivukoni kkoo Mbagala kisemvule one way
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Reference
Kisemvule obey new village
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
240.0 ft²
Maelezo

Ofa zetu bado zinaendelea. Kwa Million 1.3 unapata kiwanja kizuri kilichopimwa tayari, kikubwa zaidi unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi 3... Viwanja tayari vimezungukwa na huduma za kijamii kama maji, Umeme jirani, Eneo la Soko, Eneo la Shule, na mji umeanza kujengeka Kwa spidi kubwa.

Viwanja vinapatikana Kisemvule Mbele ya Vikindu. Usafiri ni Uhakika 24/7 , kuna magari tokea Gerezani-Kisemvule, Kivukoni -Kisemvule, Temeke-Kisemvule, Mbagala -Kisemvule n.k

Ukubwa : Futi 50 X 40 Milion 1.3
Futi 50 X 80 (Sqm 400) Milion 2.6
Futi 80 X 100 (Sqm 800) Milion 5.2
Futi 150 X 80 (Sqm 1200) Milion 7.4
Futi 160 X 100 (Sqm 1600) Milion 10.4 etc

Njoo na 50% ya bei ya kiwanja kiasi kinachobakia tunakupa miezi 3 ya kulipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana. Wote mnakaribishwa, kutembelea mradi wetu ni bure, tupo kila siku. Kwa maelezo zaidi
??piga/Whatsaap ??

https://www.facebook.com/pg/dalalimbarale/posts/
✅@uzanunuanyumbauwaja
✅@https://wa.me/c/
✅@https://www.facebook.com/pg/dalalimbarale/about/

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Juma Mbarale
Juma Mbarale
Mwanachama tangu 10. Jun '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!