7. Mar, 10:31
Utambulisho wa Tangazo: 2569380
TSh 1,200,000

TUNAUZA VIWANJA VIKINDU SHERATON ECO VILLAGE

Other District Other Location USAFIRI ni uhakika, unapanda gari moja TU , tokea Kariakoo, Kivukoni, Temeke, Tandika, Kigamboni, Mbagala, Buza n.k
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Reference
SHERATON ECO VILLAGE
Price per square unit
Hapana
Square units
180.0 ft²
Maelezo

TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA BILA RIBA WALA DHAMANA KWA MILION 1.2. VIWANJA VIPO VIKINDU. SHELATON ECO VILLAGE.... PIGA SIMU NA WHATSAP

NI VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA. NI KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI (Kilwa road)

SIFA ZA VIWANJA VYETU:

✅ Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo, Shule za serikali na private zipo jirani kabisa na mradi, Soko, kituo cha afya, Eneo la michezo limetengwa n.k

✅Eneo limezungukwa na nyumba, usafiri wa Bajaji ulishafika nauli 500 tu unaingia kwako.
Njia ya kuelekea kwenye mradi wetu ni nzuri inayojengwa kiwango cha lami.

✅Viwanja VIMEPIMWA, barabara za mitaa zimesha chongwa. Ukubwa ni Futi 50 X 40 Miilion 1.2. Futi 50 X 80 (Sqm 400) Milion 2.4 Futi 100 X 80 (Sqm 800) Milion 4.8.

Tunapokea malipo taslimu au kidogo kidogo bila riba wala dhamana ndani ya miezi 3 baada ya kutanguliza 50% ya malipo ya awali. KUMBUKA UTAPELEKWA NA KURUDISHWA BUREEE NA KUNUNUA HADI URIDHIKE MWENYEWE.

USAFIRI ni uhakika, unapanda gari moja TU , tokea Kariakoo, Kivukoni, Temeke, Tandika, Kigamboni, Mbagala, Buza n.k

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Juma Mbarale
Juma Mbarale
Mwanachama tangu 10. Jun '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!