1. Mei, 10:41
Utambulisho wa Tangazo 2826481
TSh 10,000 / m²

TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
300.0 m²
Maelezo

KINGO PROPERTY LIMITED Inakuletea mradi wa VIWANJA kama ifuatavyo
KIGAMBONI: VIWANJA Vipo MAWENI KWA MWINGIRA ni kama mita 700 kutoka baharini.vingine Vipo MJI MWEMA UNGINDONI na KIBADA BLOCK 5 SQM 1 TSH 30,000
Na vingine Vipo DEGE na CHEKA ni kilomita 2 tu kutoka baharini SQM 1 TSH 10,000
VIWANJA vyote Vipo jirani na barabara kuu ya lami ya FERRY KIVUKONI
KIBAHA: VIWANJA Vipo KIBAHA kituo kinaitwa MISUGUSUGU ni mita 600 kutoka barabara kuu ya MOROGORO ROAD SQM 1 TSH 10,000
NB: Viwanja vyote vimepimwa (vimerasimishwa na serikali) kwa maelezo zaidi tupigie simu au fika offisini kwetu MJI MWEMA SHULE

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Sister Dalali
Mwanachama tangu 19. Apr
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!