Kingo property limited inakuletea mradi wa VIWANJA kama ifuatavyo
KIGAMBONI :viwanja vipo Kigamboni DEGE na CHEKA ni jirani kabisa na barabara kuu ya FERRY KIVUKONI na umbali kutoka baharini ni kilomita 2 au mwendo wa dakika 20 kwa miguu viwanja vinauzwa kwa square mita 1 ni elfu 10 tu
Na vingine vipo KIBADA FULL SHANGWE Sqm 1 =30,000
KIBAHA:VIWANJA VIPO KIBAHA KONGOE KITUO KINAITWA MISUGUSUGU NI MITA 300 KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD VIWANJA Vinauzwa kwa square mita 1 ni elfu 10 tu viwanja vyote vimepimwa {vimerazimishwa na serikali} ukinunua unapata na hati miliki yako kwa jina lako kwa maelezo zaidi tupigie simu
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!