Mzigo ukifika unalipia
Rafiki karibu sana. Jipatie magodoro mazuri sana kwanzia bei ya 145,000, 195,000, 270,000, 290,000, 390,000, 480,000, 550,000, 650,000, 780,000 izo bei ni za aina ya godoro na size yake hapo kuna bei ya Gsm, Dodoma, tanfoam, vitasupreme, vitaraha, comfy kwanzia 4 x 6 na 5 x 6 magodoro aina zote yapo size tofauti tofauti. Tuwasiliane kama upo dar tunakuletea hadi nyumbani
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!