21. Okt '21, 09:29
Utambulisho wa Tangazo 3533083
TSh 2,200,000 / ft²

TUNAPANGISHA ENEO KUBWA SANA LENYE WIGO NA NDANI YAKE KUNA NYUMBA YA WAGENI

Arusha Mjini Arusha Opposite with sakina super market
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Terms
Inahitaji Kodi ya Mwezi Mmoja
Reference
Sakina, silentini
Price per square unit
Ndiyo
Square units
70.0 ft²
Amenities
  • Maji yanalipiwa kwenye kodi
  • Ina Samani Baadhi
  • Ina Samani Zote
  • Umeme unalipiwa kwenye kodi
  • Samani za Jikoni zipo
  • Ina parking yenye kivuli
  • Ina nyumba ndogo pembeni
  • Huduma Nyingine
Maelezo

Eneo hili liko Arusha, sakina mkabala na sakina super market barabarani kabisa, ukisimama nje barabara hii hapo, lina ukubwa wa hatua 70 kwa 70 kwa makadirio ya chini, ndani kuna sehemu ya nyumba ya wageni ambayo ina vyumba 10 na kila chumba ni master, kuna vitanda na kila kitu, lakini pia kuna eneo kubwa la kuweza kufanya swimming pool, bar au lolote, hatukufungi unaweza kutumia eneo hilo kwa matumizi yoyote ya halali kwa maana bar, hotel, shule au chochote unachofikiria kufanya. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
ommarizo@gmail.com
Mwanachama tangu 24. Mac '13
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!