4. Feb, 06:16
Utambulisho wa Tangazo: 2472481
TSh 65,000

TIBA YA PID

Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Seller offers delivery

5000

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

UGONJWA WA PID (Pelvic Inflammatory Disease) au Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke.

Magonjwa ya zinaa ndio sababu kuu ya
wanawake kupata maambukizi katika mfumo wa uzazi yani (PID). Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 walipota PID katika wakati wowote ndani ya maisha yao hupata tabu kushika mimba.

(PID) NI NINI?

PID ni maambukizi katika mfumo wa uzazi wa
mwanamke na mara nyingi husababishwa na
magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na
chlamydia ila kuna aina ya maambukizi mbali na magonjwa ya zinaa yanaweza kusababisha
maambukizi ya PID.

JE! MWANAMKE HUAMBUKIZWAJE PID?

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na:

 • Kama una ugonjwa wa zinaa na haijatibiwa
 • Kufanya ngono zembe isiyo salama (yani kulala na wanaume tafauti tafauti)
 • Kuwa na mpenzi ambaye ana wanawake wengi nnje
 • Kama umekuwepo na historia ya PID hapo
  nyuma
 • Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
 • Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya
  kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post
  abortion) au mara baada ya mimba kutoka
  (miscarriage)
 • Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa
  uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa
  mpango
 • Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID
 • Kutumia (Vaginal Dauche).

UTAJUAJE UKO NA (PID)?

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.
Miongoni mwa dalili hizi ni:

 • Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa
  maeneo ya chini ya kitovu
 • Kupata maumivu ya mgongo
 • Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za
  siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.
 • Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
 • Kupata maumivu au kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
 • Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
 • Kupata homa
 • Kupata damu innje ya siku zako zako za-
  kawaida kupata damu ya hedhi
 • Wakati fulani kuhisi kichefuchefu kama
  mwanamke mja mzito na kutapika.
Moana
Mwanachama tangu 15. Jan
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!