5,000/=
SOMA KUHUSU TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
Follow us on Instagram @bawasiritz
BAWASIRI HEMORRHOID - Ni nyama inayojitokeza sehemu ya haja kubwa ambayo husababisha mtu kutokwa damu na maumivu makali hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa.
Aidha sababu kuu ya Bawasiri huwa ni; Ni pressure kubwa ya kwenye mishipa ya damu hivyo hujirundika kama nyama na kutokeza nje sehemu ya haja kubwa. Na wakati mwingine hiyo nyama huwa ndani ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine huweza kutokelezea kwa nje.
KINACHOPELEKEA PRESHA HIYO YA MISHIPA YA DAMU
•Wajawazito - Mama mjamzito asipofanya mazoezi ya kutosha au kusimama muda mrefu anasababisha presha kubwa kwenye mishipa ya damu.
•Watu ambao hawapangilii mlo hawazingatii mlo kamili, hupelekea kupata choo kigumu au kutopata choo kabisa.
•Watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja au mapenzi kinyume na maumbile
•Watu wanaofanya sana mazoezi hasa wacheza mpira.
•Uzito kupita kiasi (kitambi).
•Kunyanyua vitu vizito.
Mara nyingi ufumbuzi wa bawasiri umekuwa ni wa kufanyiwa upasuaji na kuondoa kinyama kilichoota njia ya haja kubwa. Lakini kadhalika upo ufumbuzi mzuri ambao unaponya bawasiri pasipo kufanyiwa upasuaji.
MATIBABU YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
NOVEL DIPILE na CONSTIRELAX - Ni chakula dawa au food supplement zinazoponya Bawasiri bila kufanyiwa upasuaji. Zimetengezwa kwa Matunda yenye jamii ya miti ya maua iliyoweka kama kichaka (shrubs). Miti hiyo ni kama machungwa, chenza, limao, zabibu na miti ya jamii hiyo.na iliyothibitishwa na TFDA, halal na mamlaka nyingi kimataifa.
`
FAIDA YA TIBA HII.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!