25. Ago, 19:02
Utambulisho wa Tangazo 3289053
TSh 15,000

TATIZO LA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME

Kinondoni, Manzese Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Huduma zetu zitakufikia hadi ulipo. wasiliana nasi kupitia simu

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Imetumika
Maelezo

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mwanamke au mwanamme.
Chanzo chake.

Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo sana {utotoni}. Kwa
mfano :- mwanaume hupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini

Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo nakuendelea.

Maumivu hayo yakiendelea humpelekea mwanamme na mwanamke kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
Dalili zake.

Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana au asubilie baada ya masaa kadhaa.
Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake vizur kwa muda mrefu.
Ni vigumu kumpa mimba mwanamke hii hutokana na production kupungua
Kwa Mwanamke mwenye chango la uzazi

Dalili zake.

Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi au anapo kuwa tayar kwenye siku zake,
Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,
Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba maalum zitakuwa zinabadilika badilika,
Hujisikia homa kali,kichef chef,mwili kuuma anapokaribia siku zake za hedhi,
Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia,
Katika siku zake za hedhi,Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi,
Kupata mchubuko kwenye mapaja,vipele au chunusi sehemu mbalimbali za mwili na hata za uke,
Kuchukia kushiriki tendo la ndoa,
Ni rahisi kupata uvimbe kwenye kizazi,
Ni rahisi pia mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi,
Madhara yake kwa wanawake.
Ni vigumu sana kwa mwanamke kupata mimba kirahisi,
Mwanaamke anaongeza uwezekano mkubwa wakuwa tasa kabisa,
Kuingia na kutoka kwa mimba/kuharibika {miscarriage},
Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni{FOD},
Kuvusha siku za hedhi au kufunga hata miezi kadhaa,
Kurudia hedhi hata kwa mwezi mara mbili,
Kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa,
Kuwa na uke mdogo sana na kukosa ute ute ukeni,
Kuwa mkavu muda mwingi na hivyo kukupa maumivu wakati wa tendo.
Madhara kwa Mwanaume​.
Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba {diedsperm}
Kiwango kinachozalishw cha mbegu ni kidogo mno{low spermaccount}
Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa{hujiamini}
Kusimama na kusinyaa kwa uume hata kabla ya tendo,
Kuishiwa nguvu katikati ya tendo,
Korodani kupanda juu na wakati mwingine kuuma,au kuvimba,
Tumbo kujaa gesi na kuunguruma.

Dr. kramal
Dr. kramal
Mwanachama tangu 5. Ago
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!