8. Sep, 07:16
Utambulisho wa Tangazo 3342121
TSh 45,000

Super gro

Kinondoni, Msasani Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Utaletewa popote ulipo Tanzania.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

Super gro ni bidhaa ya kilimo, inamatumizi mengi, kazi yake ni kurutubisha mimea na kusaidia mifungo/wanyama kupata mahitaji tao muhimu kama madini, vitamini, na kuimarisha kinga za miili yao, pia, itawasaidia wazalishe kwa wingi.

Vivyo hivyo, hata kwenye mimea, inasaidia mmea uendelee kuwa na green muda wote, inapambana na ukame, inarutubisha ardhi, inaongeza mavuno, inasaidia viwatilifu kufanya kazi vizuri, haina kemikali ni salama kabisa.

Matumizi lita moja ya Super gro chanyanya na maji lita elfu moja au Cc/mls 1 ya Super gro kwa lita moja ya maji.

Kama unawawekea mifugo weka kwenye chombo cha kunywea maji, wanywe mara moja kila banda ya siku saba.

Kwenye mimea unamwagia kila baada ya siku saba, wakati wa kiangazi, mwagia kila baada ya siku 14 wakati wa masika.

Fadhili Jombe
Mwanachama tangu 8. Sep
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!