STAND ALONE INAPANGISHWA
MAHALI : SALASALA
MAELEZO : Inajitegemea peke yake kwenye fensi.... Ina vyumba 6 vyumba viwili ni master ,,,,, dinning kubwa , jiko kubwa LENYE makabati ya kisasa,,,,,, stoo ,,,, Mabanda ya kuku ,,,,,,,,, boy quarter,,,,,,,, garden,,,,,,, public toilet ,,,,,,,, NYUMBA NI KALI MNO
Pia ina gypsum , aluminium window Tiles , mafeni , full AC , Car parking kubwa yenye PAVING blocks na kila kitu.
Usalama ni wakutosha na haipo mbali na lami.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!