Nyumba iko barabara ya Namanga Tegeta. ina vyumba 3 vya kulala, moja master. sebule 2, office 1, dining room and kitchen. Ina packing ya magari 3, uwanja mkubwa wa mbele na nyuma ya nyuma kwa ajili ya mazoezi na michezo ya watoto. ina ukuta na electric fense. ina maji ya dawasco na reserve kubwa ya maji safi. umeme ni wa uhakika. very clean & decent neighborhood. Nyumba inapatikana kuanzia tarehe 1 June 2020. Bei Mil 1. kwa mwezi.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!