20. Sep, 21:05
Utambulisho wa Tangazo 3389477

Siri za kuuza sana ambazo washindani wako hawataki kabisa ujue

Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam
Maelezo

Shida siyo matangazo
Tatatizo siyo bajeti ya matangazo
Tatizo siyo idadi ya matangazo

Kama ujumbe au ofa unayotoa haiwezi kumshawishi mteja kununua basi kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza hela nyingi kwa vitu ambavyo havifanyi kazi

Suala siyo gharama nafuu za print outs bali jumbe zinazoweza kuleta mamilioni kwenye biashara zako hii ndiyo siri ambayo washindani wako hawataki ujue

Unajua natumizi ya Coupon yanavyoweza kukuletea mamilioni?
Unajua kuwa tangazo linalovuta wateja linaweza kabisa likaondoa ukame wa mapato kwenye biashara yako?
Unazijua mbinu 6 ambazo tangazo au ofa inatakiwa kuwa nalo ili uuze sana?

Zanobay Traders
Zanobay Traders
Mwanachama tangu 17. Ago
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!