Shamba linauzwA lipo mkoa wa pwani wiraya ya mkuranga kijiji cha mwarusembe shamba zipo eka 20 kila eka moja bei ml 2,5 shamba zipo tambarale umbali wa kutoka barabara ya rami km 1 kufika katika shamba
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!