Kibaha Mjini
Pwani
Shamba hili linahuma zote
Umeme upo mita 300 tu
Kunanyumba ya mfanyakazi kuna mpaka solar imefungwa
Kuna mabanda yakufuga
Migomba zaidi ya mia 600
Ukubwa ni acre 2 maji ya dawasco yapo
Mapesheni mananasi miwa nishamba Bora kabisa unaweza kujenga hata gorofa linafaa kuishi nishamba Bora kabisa
Zipo acre 2
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
2.0 ekari
Maelezo
Shamba kiwanja hili liko kibaha
Unaingilia hospital ya tumbi
Shamba lipo Mwanalugari
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.