Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali mahindi,matikiti,nanasi,mihogo,alizeti,ufuta,mitikiti,Nazi,migomba,embe ,michugwa n.k
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!