30. Apr, 14:37
Utambulisho wa Tangazo 2722435
TSh 120,000,000

SHAMBA LILILOENDELEZWA, EKARI 10 NA NYUMBA, TSHS.120MILIONI-MKURANGA.

Mkuranga Pwani Mkuranga
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
10.0 ekari
Maelezo

10 Acres of a developed Farm.
With 2 Houses, Various crops,Electricity and Water.
Only 3 Kilometres of road distance from the Tarmac/ The main Kilwa road.(Brokerage commission is 10% and Visit charge is Tshs.50,000)

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Huduma ni Tshs.50,000.

Mali zilizopo ndani ya Shamba:
Nyumba kubwa 2 Ambazo zina vyumba viwiliviwili na sebule.

Kuna chumba kimoja kinajitegemea.

Banda kwaajili ya mifugo,
Sehemu ya kunyweshea maji mifugo,

Maji yapo,

Pia Kuna Kisima na Umeme upo.

Mazao yaliyomo Shambani:
Korosho,
Migomba,
Manasi,
Ndimu,
Limau,
Michungwa,
Mapera,
Nazi,
Mihogo na Viazi vitam.

Shamba lipo katika mpango miji.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dalalitz@yahoo.com
Mwanachama tangu 12. Ago '12
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!