Jipatie shamba lenye ukubwa wa ekari 126, ekari 26 zina miti ya mitiki yenye umri wa miaka mitano(5), ekari mia(100) ziko wazi zinafaa kwa kufanyia shughuli mbalimbali kama kilimo, kujenga shule au chuo kwani eneo lipo karibu na makazi/vijiji. Bei kwa kila ekari iliyo wazi ni TZS 1,500,000/=, na seheme yenye mti ya mitiki bei yake ni kwa maridhiano
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!